Mark 6:3-4

3 aHuyu si yule seremala, mwana wa Mariamu? Na ndugu zake si Yakobo, Yose,
Yusufu kwa Kiyunani ni Joses.
Yuda na Simoni? Dada zake wote si tuko nao hapa kwetu?” Nao wakachukizwa sana kwa ajili yake, wakakataa kumwamini.

4 cIsa akawaambia, “Nabii hakosi heshima isipokuwa katika mji wake mwenyewe, na miongoni mwa jamaa na ndugu zake, na nyumbani kwake.”
Copyright information for SwhKC